Jul 28, 2012

JEE UNAWAKUMBUKA HAWA ?

KAMA WEWE ULIKUWA MPENZI WA VIPINDI VYA WATOTO JUMAPILI KWENYE TV YA ITV BASI HAWA UWEZI WASAHAU HAWA WATU JE WANAKUKUMBUSHA NINI MIAKA 18 ?ILIYOPITA SOO FUN ,NAKUMBUKA MUMY AKISEMA HAYA KANISANI NITAJIDAI NAUMWA ILI MRADI NISIENDE CHURCH ILI MRADI NIONE KIPINDI AU NATOROKA SUNDAY SCHOOL NIRUDI KUKIONA TU.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...