Jul 31, 2012

KUNA UKWELI WOWOTE JUU YA HII NYIMBO YA SOLO KAMA KAMWIMBA WEMA SEPETU

HII NYIMBO INASEMEKANA SOLO THANG AMEMWIMBA WEMA SEPETU
JE WEWE UNAIONAJE?JAPO SOLO AMEKANA HAKUMWIMBIA WEMA
Wema akipose na swagg za kiafrica hii picha nimeipata kwa manager wake
ameandika Wema akielekea ubalozi wa ufaransa stay tuned tuone anafata nini huko!

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...