May 14, 2012

HOW TO DRESS SUMMER MUSIC FESTIVALS


How to dress for the summer hottest Musical Festival!hey dolls its Monday again hope u had fun on your w-end .kama mnajuavyo jua limeshaanza kuchomoza na festivals kila mahali so lets see kwenye hizo festivals unatakiwa uvae nini! na uonekana vipi? Music festivals zinamavazi yake kama kweli wew unapenda Fashion basi utakuwa unalijua hilo!kama ujui basi laeo tunashare nawe.By June zitakuwa zishaanza pale Kungsholmen au Gröna lund lets meet there!

Simple unapunga upepo
paints nazo zimo

dress nazo zimo



kivazi kingine hiko ukiwa na babyyy@sauti ya Isha Mashauzi
Kiss kiss

1 comment:

Anonymous said...

afadhali umetuwekea mna tunakurupuka tu mwa@asnte kuvaa hatujui hata picha pia asnte tutaiga

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...