How to dress for the summer hottest Musical Festival!hey dolls its Monday again hope u had fun on your w-end .kama mnajuavyo jua limeshaanza kuchomoza na festivals kila mahali so lets see kwenye hizo festivals unatakiwa uvae nini! na uonekana vipi? Music festivals zinamavazi yake kama kweli wew unapenda Fashion basi utakuwa unalijua hilo!kama ujui basi laeo tunashare nawe.By June zitakuwa zishaanza pale Kungsholmen au Gröna lund lets meet there!
Simple unapunga upepo
paints nazo zimo
dress nazo zimo
kivazi kingine hiko ukiwa na babyyy@sauti ya Isha Mashauzi
Kiss kiss
1 comment:
afadhali umetuwekea mna tunakurupuka tu mwa@asnte kuvaa hatujui hata picha pia asnte tutaiga
Post a Comment