Celebrity wenzake kwenye birthday party yake huko Bevely hills.bila kumsahau
x-boy friend wake Chriss Brown.cha kushangaza watu ikafika kata cake tule basi jicake
lilokuja ndio hilo hapo chini Robyn kaveshwa bikini nyekundu, alafu yupo juu ya dudu haha
Chriss n Robyn
soon watafanya collabo ya nyimbo yake mpya'' Birthday cake''inasemekana
wameanza kudates tena. kam wewe ni mshabiki wa twitter basi utakuwa unajua
mengi yanayojiri juu yao.
2 comments:
astakafirulagh mswalieni mtume jamani MI SIKUJUA KBS KM IYO KEKI NI DUDU
hhahaha mama brandon wewe ujatulia. kitu cha dudu hapo pembeni waliilaje hiyo cake waalikwa dunia kweli tambala bovu
Post a Comment