Mwanadada Christina aka Sintah aliekuwa mwagizaji wa tamthilia za kiswahili miaka ya nyuma,
inasemekana ameamua kushoot movie moja na x-boyfriend wake ambae ni Mwanamziki
Juma Nature kiroboto .Movie hiyo itahusu Mapenzi jinsi walivyo kutana mpaka wakatibuana wakaimbiana nyimbo ''Sitaki demu''.
Japokuwa Nature anasema ilikuwa ngumu kwa Sintah kukubali
hiyo idea ya kuact nae movie hiyo itakayo itwa ''SITAKI DEMU''ila mwishowe alikubali na sasa wataanza shooting kuanzia mwezi ujao March,nimeipenda idea yao naona watauza sana kwani hiyo nyimbo ili hits watu watatamani kuona ilikuwaje kuwaje.kila lakheri.
No comments:
Post a Comment