Feb 18, 2012

MREMBO WA WEEK END - SEAN CLAIRE

                           My liitle Shangazi Sean Claire amependezaje na color Combo.
                                                   Hongera my wii kwa kulea naona hizo kg si mchezo.

4 comments:

Anonymous said...

SYNCLAIRE unatamka singklea (KWA MWANAMKE) and not SEANCLAIRE mbayo unatamka shownklea HII NI KWA WANAUME THATS WHY KUNA SEAN MWANZO.


NI MTAZAMO TU NA MAWAZO NAJUA JINA NI JINA NA KILA M2 ANA MAPENZI YAKE . (NIWIE RADHI KM NIMEKOSEA)

Anonymous said...

mtoto mzuri anaafya bora hongera kwa mam mwenye mtoto

Tina-arusha said...

ni uninsex ni latin name.linamana bright,famous na ..... rafiki yangu mwanamke anaitwa hivyo.

kokusimah said...

July umefanya vizuri unajua nini. Hongera wifi na kaka yetu. Nilikuwa nimezani ni mtoto wa mke mwenzio huSinipate wrong. Mtoto mzuri Mungu atukuzie amen.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...