Feb 11, 2012

MREMBO WA WEEK END MOMMY D

Pendeza mama ,nywele fupi zinakupendeza sana kuliko ndefu
xoxo

14 comments:

kokusimah said...

We July umenistua kidogo nizimie nilipofungua blog. Asante kwa kuona nywele fupi zinanipendeza Nta-dili nazo mpaka kieleweke.

Anonymous said...

Embu toa uchafu huo tuna sikia kichefuchefu sai.

mdau Norway said...

kuna viumbe mmeubwa na chuki,wivu,na ujinga hukuitwa humu chuki zako ndio zilizokuleta utaki funga macho usiione lione bayaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

mamaloshi said...

umependeza unajua wenye uso wa duara nadhani mnapendeza nywele fupi kimtazamo tu .afadhali umekubali utaziendeleza tetete .salimia familia mama loshi

Anonymous said...

yaani umeamua kutustua leo,mbavu zinauma mieeeee uwiiiiii si ungechagua picha nzuri ndio uweke nini hichooooo....siku hizi havai vitenge.

Anonymous said...

pole mdau kwa kuumwa mbavu juu ya kicheko ila kwa taarifa tu HII NDO PICHA PICHA MOJA YA MFUNIKO YANI km ni nguo basi kavinja kabati tehe tehe tehe tehe kukuza jina kaaaaaaaaaaaazi kweli kweli

Anonymous said...

mama losh mi sina uso duara afu napenda sn nywele fupi basi nakomaaje nazo?????? yani sitaki kujua kiubishi ubishi ivo ivo

Anonymous said...

tehe tehe tehe wapenda picha pozi mmeliona ilo??????????? eeeh mguu juu mkono kiunoni vitenge vitenge tupa kule zis is 2012

Anonymous said...

pendeza muke ya muzungu acha na wenye stress za maisha hao,watakukomaje.

kokusimah said...

Freedom of speech, hii freedom of speech imeanzia kwangu ahahaa husilolijua ni km usiku wa Giza visit me on www.ngaizaskids.blogspot.com ntawakomesha nyoote mnaojifanya kunijua. Nina picha since I was 3years. Vitenge sijaacha na sintoacha and reasson nimevaa hivi its because my husband likes na nyoote mnaojifanya kunijua mlinijua nishanenepa so kuteseka na nguo tight wakati minyama imenitoka ndo nini??so go ahead na mseme whatever mtakavyo Na July kaiweka hii picha makusudi coz katika Facebook yangu kaziruka nyingi ambazo zina mwanga mengine mseme wenyewe Mimi ni jasiri so wala siogopi kusemwa na kwataarifa yenu sijauza sura wala sujamtumia July picha hii awawekeee. U gt me right?


Freedom speech imeanzia kwangu, nyingine hata paku-comment hamwekewi nimeona mlivyogala kwenda kucoment picha ya pili.

Anonymous said...

wape wape...mama D.

Anonymous said...

At mbuyu ulianza kama mchicha well done momy d .kardishian mwenyew ukionyeshwa swagg zake za zamali ni utashanga ila sasa ndio fashionista wa ukweli go go mam d

Anonymous said...

kwenda huko na ngaiza yako kila blog upo kama inzi kaona embe.....mara kwa sinta etimrembo wa wiki haya na sinta nae alitoa fb maana umejitetea humu...hovyoooo kwenda ushomile wewe baaaadoooo hakujakucha.fyuuuuuu

Anonymous said...

Du mama dori kweli unakosesha watu usingizi mneno yanawatoka kama israel kafata roho mboni mambooo mie nakupa biggg up umependeza mboni wao hawatoi picha zao tuwaone na minyama nyama yao upo juuu mama kama mawingu

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...