Feb 10, 2012

MONICA & BRANDY NEW TRACK "ITS ALL BELONGS TO ME"

Monica na brandy wamefanya collabo kwa awamu ya pili baada  ya nyimbo yao The Boy is Mine.
                               walishakuwa marafiki sasa 14yrs ,huu sasa ndio urafiki
wa ukweli, wametoa nyimbo mpya anayoitwai Its all Belongs to Me ,

MONICA n BRANDY

1 comment:

kokusimah said...

Ukipata rafiki mka match Tabia mnaenda kweli kibaya ni Tabia zikianza kuvutana. Mungu awazidishie urafiki wao udumu zaidi.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...