Dec 18, 2010

TWANGAPEPETA WAPATA PIGO ABOU SEMHANDO AFARIKI DUNIA.

Marehemu Abou Semhando alikuwa mwanamziki wa band ya twangapepeta.
alikuwa mpiga ngoma,amefariki jana kuamki aleo asubuhi saa tisa ,baada ya kupata ajali ya pikipiki alokuwa anaendesha kugongwa na gari na kumletea mauti.ni pigo kubwa kwa Tanzania kupoteza wanamuziki wakongwe wawili ndani ya week moja ,baada ya kumzika remmy ongala.
  

                                                
                     MAREHEMU ABOU SEMHANDO aka BABA DIANA.


MUNGU AKULAZE PEMA PEPONI.
       



                                                                           

1 comment:

Anonymous said...

dah mungu amrehem bwana ametoa na bwana ametwa

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...