Dec 14, 2011

PATA MWONEKANA WA ICE BLACK MAGIC TOKA JALUX

PICHA INAJIELEZA.
YAP GUYS KESHO NDIO HOLIDAY NAIANZA NILIKUWA BUSY NA KUPAKIA MIZIGO
NA TUPO TAYARI KUSEPA BONGO NITAPOTEA HUMU KWA SIKU KADHAA NITARUDI KUWAPA YATAKAYO JIRI 17DEC IBM NDANI YA DAR -BILLCANAS
NA MENGINEO MEENGI YA BONGO STAY TUNED!
XOXO

4 comments:

Anonymous said...

Hahaaaaaaaaaaa huna issue waku paki utakua wewe!!! alafu unaishia Bills unachekesha sana.na hubaki huko huko usirudi huku pimbi wewe.

caroline said...

Mumy b mungu awatangulie mfike salama na mfurahie holiday yenu.basi usiwekimya sana humu tunangoja picha za bata najua utamla jadi manyoya lol

Anonymous said...

My darling have a safe jounery may God guide u guys i cant wait to see how u gonna rock IBM

Anonymous said...

Embu funga hichi kijiblog chako kina bore sana hakuna jipya kabisaa.ushuzi mtupu.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...