Nov 14, 2011

BLACK PARTY INARUDI TENA 17TH DEC@ DAR ITANOGAJE!


ICE BLACK MAGIC IMERUDI TENA HII INAMANA MWAKA UMEISHA,KAMA KAWAIDA ITAANZIA DAR NDIO IJE ABROAD ITANOGAJE WITH MY GALS! STAY TUNED.

4 comments:

Anonymous said...

nyambunyambu.itasongaje?mungu atubariki mwaka huu tufike kwenye tukio

Anonymous said...

hahah hilo tena kwa raha zetu bibi naina majotroooo

Mdau norway said...

tunangoja picha mama najua utakimbizaje?ndio watanuna hao nakukutukana humu mpaka midole yao itaota sugu

Anonymous said...

mtainjoijeeeee jamaniii.afadhali mkale kuku wa kienyeji mnenepeeee mkirudi huku mmenonaaa

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...