hii style ya kaua pembeni imependwa sana wengi waliivaa summer ya mwaka huu nami niliipata.
Vazi ni zuri sana ila sikuelewa kwa nini hawakuvaa viatu naona wangependeza zaidi.
Wow woh Nancy looks huge na hizo Nude heels,oufit imemkaa poa utadhani ajatoka zaa!
hivi ndivyo inavyotakiwa kwa mama mlezi.
Kiki na warembo wake.
Hongera zake kwa hapo alipofikia ni hatua kubwa mpaka kuingia swahili fashion week.
No comments:
Post a Comment