ila kwa kipindi kichache kilichopita kimekuwa ni fashion kwa watu wote,macelebrities wengi wa kike wamezivaa kwa style tofauti.
odemba yake ni ya kitenge
solange yake haikutofautiana na ya dada
jlo yake aliivaa kipekee zaidi
jp wa sexy n the city nae hakupitwa.
Nicole
nikaona mkaka kapose na Turban nikashanga kumbe si kwa wanaume wa kiindi peke yao.
No comments:
Post a Comment