Aug 26, 2011

GYM KWA MWANAMKE INAMPENDEZA AU INAMWARIBU MWILI?


Poll of the Day: Did You Think Will and Jada Really Split?



SWALA ZIMA LA GYM KWA MWANAMKE MIMI BINAFSI NALIONA ZURI ILA INATEGEMEA NA AINA YA MAZOEZI UNAYOFANYA KUJENGA MWILI WAKO,KUNAMAZOEZI MENGINE YANAKUFANYA UKOMAE MPAKA UNACHUKIZA ,KUNAMENGINE YANAKUPA SHAPE NZURI KUTOA TUMBO NA KUBAKI BILA MUSCLES.JE KWA WALE WALIOKUWA NA MIFUPA YA KUKOMAA NAO WANASTAHILI GYM?JE WEWE UNAONAJE SWALA ZILA LA GYM KWA MWANAMKE!

KIM PAMOJA NA GYM MWILI BADO UPO SOFT KABISA,

1 comment:

Anonymous said...

Tetet nikweli mana kama ciara ile sio gym tena.
MADONA.
britiney
Hawa hapo.si.gym tena bala mkomao.na kuna wale sexy na gym 27hrs unatia hamu.wakina
Rihanna
Jlo
Beyonce
Jenifer hudson

Mdau norway

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...