FASHION REPORT SPRING COLORS
fashion ikwenda na wakati kutokana seasons ,summer imekwisha iliwika kwa rangi za mcharuko sasa tunaingia spring na rangi tulivu za zamani zilivaliwa miaka ya 70s.no color blocking any more!sasa ni coral rose,blue curaco,silver cloud,peapod na nyinginezo
haya nenda na wakati hizi ndio rangi za sasa.
No comments:
Post a Comment