SWALA ZIMA LA GYM KWA MWANAMKE MIMI BINAFSI NALIONA ZURI ILA INATEGEMEA NA AINA YA MAZOEZI UNAYOFANYA KUJENGA MWILI WAKO,KUNAMAZOEZI MENGINE YANAKUFANYA UKOMAE MPAKA UNACHUKIZA ,KUNAMENGINE YANAKUPA SHAPE NZURI KUTOA TUMBO NA KUBAKI BILA MUSCLES.JE KWA WALE WALIOKUWA NA MIFUPA YA KUKOMAA NAO WANASTAHILI GYM?JE WEWE UNAONAJE SWALA ZILA LA GYM KWA MWANAMKE!
KIM PAMOJA NA GYM MWILI BADO UPO SOFT KABISA,
1 comment:
Tetet nikweli mana kama ciara ile sio gym tena.
MADONA.
britiney
Hawa hapo.si.gym tena bala mkomao.na kuna wale sexy na gym 27hrs unatia hamu.wakina
Rihanna
Jlo
Beyonce
Jenifer hudson
Mdau norway
Post a Comment