Monte carlos movie iliyokuwa ikisubiriwa kwa mda sas ishakuwa released.Wahusika ni SelenaGomez na Leighton Meester wamewashirikisha Katie toka tamdhilia ya Gossip girls,na Cory wa tamthilia ya Glee.wote ni teen naona wamependeza na wanavutia angalia trailer yao.
1 comment:
This is Babulerman.
Post a Comment