Apr 14, 2011

WOMEN'S SNEAKERS

Women sneakers hii style ya viatu niliona wadada wengi  wakiivaa,sehemu mbalimbali za starehe na wengine ndio mtoko wao kwa matembezi ya kawaida..

                                                                              
  
 Celebrity wa majuu wao wanazivaa hivi, na swala la rangi nying ni vibrant colours,je celebrity wa wabongo wanazivaaje  women sneaker 

WOLPER YEYE ALIZIVALIA PENSI   


ZAMARADI NAE ALIZIVALIA LEGGINGS                                                 

Raba hizi kumtoa mtu sexy kwa upande wangu naona ni ngumu au ukizivaa uvae kama rihanna hivyo alivyo zivalia na short pant,zaidi ya hapo sidhani.                                                                              

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...