Apr 12, 2011

HUGH HEFNER WA PLAY BOY AFURAHIA MIAKA 85 YAKE

The legendary founder of playboy empire hugh hefner asherekea birthday yake
aliotimiza miaka 85.kilicho nifurahisha amezaliwa mwezi mmoja na tarehe moja na mwanae 9th of April wamesherekea birthday yao pamoja ,mtoto katimiza miaka 21.
                              Meet Hugh Hefner's Son!
baba na mwana siku ya birthday yao,watu wenye pesa hawaangaika na mavazi wapo simple kana kwamba wapo tu nyumbani.


                           
baba starehe yake ni totoz nao hawakukosekana.

                           

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...