Mar 29, 2011

UNIC DRESS TOKA KILLY MUSIC AWARD 2011

  MONALISA KILLED DRESS  

         
     JOKATE ALICHAGUA RANGI NZURI YA VIATU NA GOWN .

Hawa ndio waliovaa kipeke kwenye kili music awards 2011 na walipendeza kiukweli ,kuna wengine wengi walipendeza sema style za nguo zilikuwa zikijirudia rudi ,mona na jokate ndio walio nivutia upande wangu.

6 comments:

Anonymous said...

VAZI LA MONA SIO JIPYA SNA MACHONI MWA WATU LISHAVALIWA NA WATU WENGI ILA KAPENDEZA

Anonymous said...

jocate yupo juu daily

Anonymous said...

rose ndauka alipendeza nae na gauni lake la mburuzo mweke jamani

Anonymous said...

Kipekee u min kwa vazi la kitenge au????? mi naisi km MPOKI vile,, mana ile ndo ilikuwa ya kipekeee kuliko wote diamond nzima.
Mwingine nae zeze sijui kashonewa na mwanae Iqra ile nguo lol yani na urafiki wote alonao na mwanamboka, sijui rozela ndo ashone vile???????

Anonymous said...

Jamani mwanamke umbea hata km nimechelewa kulijua ili nataka tu kujua IVI JOKATE NI MJAMZITO??????????? au nguo tu

pam algeria said...

UVUMI WA JOKATE UMEONGELEWA MNO KWAMBA MJA MWEPESI ILA MWENYEWE ANAKANA ,SASA UKWELI HAUJULIKANI.NA KAMA KWELI MWENYE MTOTO NI NANI ASHIMU THABIT AU!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...