KIJANA WA MIAKA 17 AIBUKA KUTOKA MBEYA KWA KUSEMA NA YEYE ANAUWEZO WA KUTIBU MARADHI MBALIMBALI.SASA HUYU ALIOTESHWA NAE AU NI BIASHARA?
MAMA YAKE MKUBWA NDIO ANAGAWA DOZI YA KIKOMBE TOFAUTI NA BABU LOLIONDO ANATOA MWENYEWE KAMA NI KWELI MUNGU AMBARIKI NA KAMA UONGO WASHINDWE KWA KUTAKA KUMWARIBIA BABU KIKOMBE.
JAFAR WELINO
No comments:
Post a Comment