Miracle baby katoto kalitupwa chooni huko nchini Haiti na mzazi wake baada ya kuzaliwa,ila mungu alivyo warehema aliokolewa na kukutwa bado yu hai sema alishauguzwa na kinyesi na funza kuanza kumla.Wanawake tunamatatizo gani kama humtaki mtoto kwa nini uilea mimba miezi tisa huu ni ukatili wa hali ya juu jamani.
2 comments:
Anonymous
said...
mama mungu abariki huyo mtmt mana amepata maumivu.kuna binadamu wana roho
jamani jamani kweli ni miracle baby ila kwanini wanawake tunakuwa na roho mbaya hivi,umemzaa humtaki mwache basi hapo hapo hospitali kuliko kumpa mtoto mateso makali kama haya ya kumtupa chooni,ulaaniwe wew mama yake

Post a Comment