Mar 26, 2011

MISS TMK AJIPA RAHA KWENYE IMB USA

Miss temeke alikuja na style yake hakutaka bugutha ya matrain wala basi alipowasilia IBM(black party) USA  alikodi LIMO kwa raha zake na rafiki zake,hii nimeipenda ukiwanacho tumia,japo kunawatu wame wapiga vidongo ila mie naona poa tu utashuhudia wenzako wanalipanda mpaka lini jipe raha bana.

                                            
                                                KITU CHA LIMO CHA UKWELI




                                MISS TMK AKITOA SHUKRANI KWA DEREVA


                                                       KWA RAHA ZAO MASHOST



                                    POSE NYUMA YA LIMO

3 comments:

Anonymous said...

wamependeza wadada, kunaviumbe vimeumbwa kukosoa wenzao sasa msishange

kwelu said...

mmh limo ni gari lakwaida ila kukodi kwake kidogo gharama ukizingatia ni kwa dakika tuu

Anonymous said...

mashauzi tu

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...