Feb 23, 2011

ZANZIBAR DRUG FREE FASHION SHOW

DRUG FREE ZANZIBAR FASHION SHOW, NI ONYESHE LILILOANDALIWA
KWA KUSAIDIAWATU WALIODHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYA NA KUWAZUIA WANAO TUMIA WAACHE.KULIKUWA NA FASHION SHOW YA MAVAZI MBALI MBALI YA MADESIGNER WA TANZANIA, ILI KUCHANGIA MFUKO HUO.VODACOM NDIO WALIKUWA WADHAMINI WA TAMASHA HILO.TIZAMA VIDEO YA WALIOADHIRIKA
NA MADAWA.



                                                             
                                                            FASHION SHOW


                                                                           
MAVAZI ASILIA YANAMVUTO ZAIDI YA KIWA MODERIZED KAMA HIVI,MASHUKA YA KIMASAI YAMECHANGANYWA NA JEANS.

    

1 comment:

Anonymous said...

kavaa kimama africa zaidi vazi zuri sana jamani.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...