Feb 15, 2011

SUEDE FUTURA BOOTS MIXING COLOR

             
                                 
Gwyneth paltrow hits the stage na mixing colors ya suede futura boots,juu akavalia na jump suit nyeusi,hereni  za manyoya ya pink akamatch na upifo wapink wa kiatu chake pendeza doll.raha ya mixing color unamatch na accesories zozote.

1 comment:

Anonymous said...

kiatu si mchezo kinalipa,

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...