WE REAL HOPE THIS IS JUST A RUMORS .ONE OF OUR FAVORITES COUPLE JAY Z AND BEYONCE MAY BE LIVING IN OPPOSITE COASTS!HABARI ZIMETOKA KWA MARAFIKI ZAO YA KWAMBA JAY Z AMEHAMA NA KUPANGA NYUMBA LOS ANGLES(LA),WAKATI BIBIE AKIWA ANAISHI NEW YORK CITY.SWALA ZIMA LA KUTENGANA NI BEYONCE HATAKI MPATIA JAY Z MTOTO,SASA BEYONCE ULIKUBALI KUOLEWA YA NINI KAMA USICHANA HUJAMALIZA!WAPO NJIANI KUFANYA TRIAL SEPARATION FOR FEW MONTHS.
BEYONCE NA JAY Z PICHA WALIZOPIGWA KABLA HAWAJA TENGANA
wanawake nasie sijui tupendweje,hapo utakuta hataki kuzaa sababu ya mabadiliko ya mwili,wakina Alicia key ,Jlo na wengine wengi wanawatoto nabado wapo sexy sas mwenzetu vipi.
Grammy award 13 feb 2011 Beyonce alikwenda peke yake,na kawaida hawaachani hasa sehemu kama hizi.hapa aliposimama huyu dada ilikuwa nafasi ya Jay z hii.
1 comment:
shoga uyu mwanamke mwenzetu km kweli kachemka lol, kuzaa ni maamuzi ya m2 hatukatai ila wenzetu hawa huwa wanaambiana mapema kwamba bwana mi siko tayari kuzaa km tunaowana ujue ni kula bata tu asa sijui huyu shoga hakumwambia Jigga??? ila nae mnafiki alishaojiwa kwenye interview nyingi yu akasema atazaa tena may b watoto 2 sasa sijui mda bado???????
Post a Comment