Swala zima la nywele ndio asilimia kubwa inayochukua uzuri wa mwonekano wa mwanamke.ingawa kila mwanamake na choice yake kuna wanaopenda Natural hair na wengine relaxed je wewe unaonaje?
dreadlocks
Relaxed hair
Natural hair zimesukwa
RASTA STYLE INAYOFANYA NYWELE IFANANIE NATURAL
2 comments:
Anonymous
said...
zote poa tu ni m2 tu kuangalia ye suit wapi zaidi mana bwana km una kipilipili afu ukaleta mabo ya natural mmmh kasheshe. km amber chini hapo akifuga nywele tutamsahau afu mtu km Mange kudaddadeki akitoa lesi lazima uulaza ukikutana nae

MASHUZI..mi naona mwanamke mvuto nywele muimu hiyo habari ya nature wenghine wenghi nwele hazinghai zimekataa .aibu
Post a Comment