Style tips za zebra nimezipenda naona zimetulia na nyingi unaweza mixed na nguo nyeusi na nyeupe na zikakutoa simple n smart.kama skirt zake ukivalia top nyesi au nyeupe haikukatai.
Gauni la zebra
ZEBRA MIN SKIRT YA SEQUINE MATERIAL
JUMP SUITS NA ZEBRA
ZEBRA JACKET NAYO IPO
ZEBRA TOP UNAWEZAVALIA NA SKIRT NYEUSI AU SURUALI NA INATOKA SMART
HAND BAG
HIGH HEELS PUMPS UKIVAA NA NGUO NYEUSI AU NYEUPE UNAKUWA SUPER DELICIOUS
KUCHA ZA ZEBRA NAZO ZINAPENDEZA
ZEBRA BELT
ZEBRA COCKTAIL RING
SCAFT YA ZEBRA UNAWEZA JITUPIA NAYO SHINGON NA IKAKUPENDEZA KAMA HIVO
No comments:
Post a Comment