Feb 6, 2011
FLAT SHOES ON FASHION NOW
Flats shoes zimerudi tena.celebrity wengi wamezivaa kwenye red carpet.
ila kwasie wa scandinavian bado baridi kuvivaa inakuwa ngumu au ubebe kwenye mkoba na ukavalie ufikapo kama ni club au popote uendapo.
kelly lowland wear silver flat
olivia fox wears gold flats shoe
flats shoes zinaweza kufanya ukatembea mwendo mrefu bila kuchoka,na zinapendeza zaidi zikivaliwa na nguo fupi,kama ni gawn,skirt,kaptula,na hata suruali inaendana nayo,ila sio skirt ndefu au gawn refu,angalia pics zifuatazo wamevalia vimini,
mitsuka alivaa blue flats na gawn nyeusi pendeza mno
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment