Feb 28, 2011

BEYONCE BLEACHING HER SKIN????

Mwanamziki Beyonce inasadikika amejichubua mwili wake,kutokana na mabadiliko ya mwonekano wake wa awali.wengine wanadai
makeup ndio zinamng'arisha.jionee picha mwenyewe ukweli ni upi juu ya rumours hizi?



                              
mwonekano wake wa sasa na zamani utofauti unaonekana na zote
amepaka makeup je wewe unaonaje hili??

                                                                          
                                 Beyonce was spotted in West Hollywood, CA.
      Beyonce baada ya mkorogo na hizo nywele kama mzungu vile .


                                                      Beyonce Blackface
Beyonce alifanya photo shoot ya L'Oreal magazine na mwonekano mweusi week iliopita, kuwakilisha waafrica leo kaibuka mzungu wasichana tunaangaika na urembo fake wa nini? kama kweli umejichubua shame on you unapiga picha za weusi kumbe unasujudu uzungu.mwanamke yoyote anaejichubua anamanisha ajiamini na mwili wake.


2 comments:

pam algeria said...

hhhaa anafata nyayo za michael jackson

Anonymous said...

yani mdau umenoiwai kaniuzi kweli la bee sn tu na sijui nani kamshauri kupendeza kapendeza tena sn sikatai ila inaonyesha hajikubali alivo yani ni kuwapa bichwa wazungu km hata sisi wenyewe rangi yetu hatuiipendi angekuwa km MPOKI je????????

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...