walifanyia uk london,kinachonuvitia juu ya movies za wa west wapo makini na kazi zao,huwezi ona kama wanaigiza michezo bali ni movie. swala la mavazi hawako nyuma na make ups wakivaa mpaka mtu unavutiwa.hisia wanajua ziweka,mipangilio ya movie zao ni mzuri ukitofautishana za kwetu.wakina Kanumba na wengine mcopy maujamja na nyie,na kuwa serious mkiwa mnaact movies.premiere yao wameifanyia UK wamepata faida kabla movie yao haijauzwa madukani.wapenzi wa movie za kipopo MIRROR BOY ndio hiyo.
REDCARPET
Gown zuri simple n sexy
Genevieve aliswaggika na gold gold color i luv her makeup
hawa wakiitwa maactress mtu unakubali wasafi kichwa mpaka unyayo,igeni nanyi wakian thea ,johari tz
makeup imetulia usoni
divalicious ,pendeza mno
Wanaume zao hawapo nyuma nao,amenyuka koti la velvet.Ray ,
Kanumba tips hizi
No comments:
Post a Comment