HILI SWALI HUWA NAJIULIZA MARANYINGI SANA LEO NIMEONA NI BORA NIULIZE
HAPA NAMIE NIWEZE KUJIFUNZA JAPO KIDOGO KUNA WATU WENGINE WANASEMA
KWAMBA MWANAMKE MWEUSI HAPENDEZI NA BLOND HAIR NAWENGINE HUSEMA
INATEGEMEA MTU NA MTU WAKIMANISHA KWA WALE WENYE BROWN COLOUR
KWA HAO BLOND HAIR ZINAWAFAA NA WALE WENYE CHOCOLATE KAMA MIMI HAPA
HAZITUPENDEZI NA HAPA NIMEMWEKA KERI HILSON NAONA IMEMSUITE POA HIZO NYWELE ,NAKARIBISHA MAONI YENU JAMANI MWENYE LOLOTE UTUPE DARASA.
KERI HILSON. |
1 comment:
mimi naona kuna wengine wanapendeza sana siju wengine wana semaje
Post a Comment