Mwanamziki aitwae Mariah Carey week hii alifanyiwa interview na radio moja huko america,
juu ya mtoto wake mtarajiwa ambe baba yake ni Nick Cannon,na mwadada huyu alisema yakwamba anategemea mapacha,na yupo mbioni toa album yake mpya ya merry christmass 2 you
GOOD LUCK
1 comment:
hongera zake
Post a Comment