Nov 24, 2010

THANKS GIVING IPO NJIANI

Thanks giving ni siku kubwa sana kwa wenzetu wamarekani,ambayo hao huisherekea kila mwaka
 mwezi wa november ,mwaka huu 2010 Thanks giving itakuwa  week hii tarehe 25 ambayo ni alhamis
 kama waida mana wanaisherekea siku ya alhamisi kila mwaka.

Maana halisi ya Thanks giving ni sikuu ya kusherekea mavuno,ambapo watu huwa hutoa kushrani ama sadaka na asante kwa mungu,miungu,wafu ,marafiki ,majamaa na ndugu kwa ujumla watu hukutana pamoja
na sherekea na  kula vyakula pamoja  inayohusisha imani kwa zaidi .pia kuna nchi nyingine nazo pia huwa husherekea thanks giving na kuipa kipaumbele kama siku kubwa kwenye nchini  canada,spanish,french,grenada na nerherland.
 na huu ndio mlo mkubwa kwa siku ya thanks giving.

 haya wana blog happy thanks giving na ´mhave fun na familia zenu.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...