Nov 30, 2010

MICHAEL DOUGLAS RECOVERING FROM CANCER TREATMENT

Kwa wale wapenzi wa film nikimzungumzia Michael Douglas nadhani mnamfahamu wengi wenu kwa wale wasio mfahamu huyu ni actor mkubwa tu nchini marekani na ni producers pia wa movies na televion  alishawahi shinda award za Golden Global na Academy Awards. Michael alitangazwa kwenye vyombo vya habari mwaka huu kwamba amepata throat cancer na ikasadikika anaweza akapoteza sauti n na hata kushindwa kuongea.


ila 26 nov baba yake alikuwa akiongea na vyomba vya habari kwamba mwanae ivi anaendelea vizuri na kapata nguvu tofauti na mwanzoni  na hata anauwezo wa  kafanya shughuli zake ndogo ndogo na ameeleza Michael ameshauriwa kula kila baada ya masaa 2 au 3 ilikurudisha afya yake mana alidhohofika sana ,na
last week end alikuwa na familia kwenye disney world .

1 comment:

Anonymous said...

du kweli noma mding pombe na masigara ndio yanamuua huyu

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...