Jun 1, 2012

MY BIRTHDAY IS ON SUNDAY

Muke ya murundi itacelebrate her 20something years old on this sunday!
ninafuraha ilioje mungu kuniweka hai na mwenye afya njema hadi leo! kanibariki familia nzuri yenye mtoto mzuri na mme bora.Happy birthday Muke ya Murundi in advance.cant wait mazawadi
from my sweetie pipo
have a nice w-end
xoxo

7 comments:

mamoshi said...

hongera muke wa murundi happy bithday .uishi maisha marefu.munguakubariki love u .zawadi zipo njiani

loshi maguga said...

happy bathday mama brandon

JALUX'S FASHIONS said...

thanks my little boy losh luv u mwaaah

JALUX'S FASHIONS said...

asante mamalao nazisubirije mana wee wa ukwehe

kokusimah said...

Mungu akujalie kila lililo la kheri Mpenzi. Maisha marefu Na yenye baraka nakutakia. Nitangulie niko nyuma yako. Happy birthday in advance. Bizuuu

JALUX'S FASHIONS said...

asante my dear ngaiza nimekutangulia yako ikifika nitakubadili nepi lol

kokusimah said...

Ehehee yes Na dummy husisahau.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...