Muke ya murundi itacelebrate her 20something years old on this sunday!
ninafuraha ilioje mungu kuniweka hai na mwenye afya njema hadi leo! kanibariki familia nzuri yenye mtoto mzuri na mme bora.Happy birthday Muke ya Murundi in advance.cant wait mazawadi
from my sweetie pipo
have a nice w-end
xoxo
7 comments:
hongera muke wa murundi happy bithday .uishi maisha marefu.munguakubariki love u .zawadi zipo njiani
happy bathday mama brandon
thanks my little boy losh luv u mwaaah
asante mamalao nazisubirije mana wee wa ukwehe
Mungu akujalie kila lililo la kheri Mpenzi. Maisha marefu Na yenye baraka nakutakia. Nitangulie niko nyuma yako. Happy birthday in advance. Bizuuu
asante my dear ngaiza nimekutangulia yako ikifika nitakubadili nepi lol
Ehehee yes Na dummy husisahau.
Post a Comment