
Riri akimfanyia shopping bibi yake kwa ajili ya birthday party that's lovely.
hakuna kitu chenye raha duniani kama kuifanya familia yako ifurahi i luv that.
bibi aliimiza miaka kadhaa w-end hii.
riri akitoka nunua cake ya birthday

woow akimpikia bibi

party ikaanza kwa makiss

akideka na bibi na babu

bibi was happy the all day

hapa ndio Riri alipojifunzia swagg chezea bibi.
4 comments:
Safii kanifanya nimmiss wangu lol! Riri naye kaobagika au? Niulizie next Tyme ukienda kutembelea tena.
hahaha obangi sasa naona fashion bado wewe mama d
Mh wengine hiyo obag mnionea. Hebu jiangalieni kisha hiyo obag inaanzia wapi!??? Mtanunua product ngapi na utapaka wapi uache wapi maana mwili mzima .........ajuae mola!!!!
watu wana kronor wew unadhan wanapurukika tu leo mweupe kesho mweusi
Post a Comment