Feb 21, 2012

OOPS !HII BIRTHDAY CAKE YA RIRI NI NOUMERRR

 Wajameni hii sasa balaah!Qeen of drama Riri ameturns 24yrs last week.akainvite
 Celebrity wenzake kwenye birthday party yake huko Bevely hills.bila kumsahau
x-boy friend wake Chriss  Brown.cha kushangaza watu ikafika kata cake tule basi jicake
lilokuja ndio  hilo hapo chini Robyn kaveshwa bikini nyekundu, alafu yupo juu ya dudu haha
                                                     

Chriss n Robyn
soon watafanya collabo ya nyimbo yake mpya'' Birthday cake''inasemekana
wameanza kudates tena. kam wewe ni mshabiki wa twitter basi utakuwa unajua
mengi yanayojiri juu yao.

2 comments:

Anonymous said...

astakafirulagh mswalieni mtume jamani MI SIKUJUA KBS KM IYO KEKI NI DUDU

Mdau Norway said...

hhahaha mama brandon wewe ujatulia. kitu cha dudu hapo pembeni waliilaje hiyo cake waalikwa dunia kweli tambala bovu

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...