Malkia wa sweden princess Victoria amejifungua leo mtoto wa kike ,mwenye gramm 3200
na urefu wa centimeter 51,katika hospitali ya Karolinska solna .
                                                Victori akiwa na mmewe Daniel na mtoto wao.
                                                                HONGERENI

2 comments:
tettetette hongera zao .mungu awbariki .wapendane wadumishe upendo .
Malaika wa Sweden kiongozi wa kina Amani kazaliwa, kong to the royal family.
Post a Comment