Dec 10, 2011

RUMORS KIM AMRUDIA X- BOY FRIEND WAKE REGGIE BUSH!

Kunauvumi uliotanda kwa sasa ya kwamba hot gal Kim karudiana na mpenzi wake wa zamani Reggie baaada ya kuachana na mmewe kris miezi michache iliyopita.kris na kim ndoa yao ilidumu kwa siku 72 ,Reggie alidai ya kwamba alishajua ndoa isinge dumu ya kim na kris.
Reunion?
Wanapendezaje hot couple

Reggie Bush really knows how to make Kim happy.
Reggie real knows how to make kim happy

Bibie karudisha kambi kwa bwana mkubwa baada ya mbwebwe nyingi?

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...