Jun 27, 2011

MODEL NEWCOMER NYASHA MATONHODZE

16YRS OLD Zimbabwean Model Nyasha Matonhodze ni newcomer kwenye ulimwengu wa modeling baaada ya kuanza kufanya kazi chache na louis vuitton na madesigner wengine.

Hii ilikuwa ni moja kati ya gauni alizokuwa akizifanyia colletion ya LV, hao kunguru kichwani atanimeshindwa kuwaelewa ni wa kweli wamekaushwa
 au ni bandia! je wewe unawaonaje?



 nyasha amevaa gauni ya  purple wakipiga picha kwa ajili ya magazine ya bazaar

 nyasha ni mrefu,wakipiga picha kwa ajili ya V magazine  

                      Nyasha-Matonhodze-Teen-Vogue-March-2011-3-570x777  

                          Nyasha-Matonhodze-Teen-Vogue-March-2011-4-570x782    
pose na swagg za blocking color alitoka nalo kwenye Teen vogue .Flaviana matata inabidi azidi kukaza buti mana new upcoming model ndio hao washaanza jitokeza !                   

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...