Dec 8, 2010

MJUE FASHION DESIGNER ALLY REHMTULLAH..

Mwanamitindo Ally Rehmtullah ni kijana mdogo,aliesomea graphics na fashions huko Marekani Philadelphia.kazi zake zinabase kwenye tamaduni tofauti  na vitenge.alishafanya kazi nyingi ndani na nje ya Tanzania.alishinda mwanamitindo bora mwaka 2007 nchini Tanzania.          
                        
MWANAMITINDO ALLY REMHUTULLAH

       
                                                SHOW ILIFANYIKA NCHINI TUNISIA


         
MAVAZI YALIO DESIGN KWA KHANGA NA VITENGE ,SHOW ILIFANYIKA LONDON
                                                   

                              
                         
LADY IN PINK ILIFANYIKA TANZANIA .
 Inapendeza kazi yake, nivizuri watu tujitokeze kununua nguo(viwalo) vya wanamitindo wetu kwa kuwapa support.                                               

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...