Nov 6, 2012

MKOROGO WA WEMA UTAMFIKISHA PABAYA







Mimi ni Shabiki namba moja ya Wema ila hapa ,ukweli tu niuseme mkorogo  unanafasi Yake na afya pia inanafasii Yake
Hii michirizi inayotokezea hivi jamani mguuni tena kwa mbele wala si nyuma na mwenyewe hashtuki si balaaa ili kujichubua si ishara ya kuwa mzuri wadada jikubalini mlivyo poor Wema  hapo cancer  unaikaribisha!

3 comments:

Anonymous said...

jamani.dada.nampenda.ila.mmmmngozi.inapoelekea.balaa.then.ni mdada.mzuri.anatakiwa.ushauri.nasaha.

JALUX'S FASHIONS said...

Anonymous huyu Kama ushauri atakuwa Kesha. Pewa sema mbishi

Anonymous said...

hiyo michirizi sio km haioni anaiyona ila hapo alipofikia inabidi alie ganzi sizani km anaweza kuikabili unless aache mkorogo sasa je yuko tayari???????

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...