Nov 7, 2012

DIDA AMILIKI BASTOLA?

Jamani nimesoma hii habari ya Dida kuwawinda wezi wa magari waliojitokeza kwa kasi 
Tanzania kwa Madai watawaibia wandishi wa habari na wasanii ! Vifaa  vya magari (power window na vinginevyo  Dida kawapa onyo wasisubutu  kumjaribu sasa anamiliki bastola lol huyu dada visa.
Infor zaidi www.didamtikisiko.blogspot.com

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...