Jun 17, 2012

HAPPY FATHER'S DAY TO ALL FATHERS OUT THERE!!!

come on man u can make it!

Dady unajua nakupenda sana @brandon voice! dady kicheko juu
luv u  too boy
HAPPY FATHER'S DAY

4 comments:

Anonymous said...

Mungu amekupa familia nzuri, mtunze mumeo na mwanao. makahaba wasijeku kuibia mdogo wangu siyo wote wanafurahia mapenzi yenu, pia usichoke kusali, nawatakia maisha mema

JALUX'S FASHIONS said...

asante my dear ninaitunza kama mboni yangu magume gume hapa mbona wamechemka wananijua wenyewe

kokusimah said...

Ahahaa Juli umeniua wathubuti waone makonde yake ahahaha nimecheka kufa. Kofi moja unaruka ukuta ahahaha. Hapana chezea Kij. Mungu atulindie mwaya. Baba wanaweza sana tu. Kiss to baby B

JALUX'S FASHIONS said...

lol simah umenipa kali.yani wanipishe tena sana watawabebea hao hao hapa less maneno more vitendo waniachie baby yanguu .mabusu yamemfikia brandon

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...