Jun 14, 2012

TREND ALERT-WEDGES SHOES



















 warembo Wedges ndio mpango kwa sasa kwenye fashion summer hii.
 wedges havichoshi miguu unaweza ukatembea navyo siku nzima na havibebi vumbi.
Wapi utapata? ni popote pale kwenye maduka ya viatu kwa wale wa Sweden
Scorett,Aldo,Belle,Nilson,Shoestyle,Dinsko.Nelly n.k
Enjoy Jalux Fashion tips
xoxo

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...