Apr 10, 2012

WEMA AZIMIA MAKABURINI AKITOA HESHIMA YA MWISHO KWA KANUMBA

AKIKIMBIZWA HOSPITALI



uwoya nae alizimia nakupewa huduma ya kwanza inasikitisha kwa kweli

Kanumba kweli alipendw watu wameonyesha mapenzi ya hali ya juu




kama Mungu angesikia kilio chetu basi Kanumba leo angerudi kuwa hai
walio zimia ni wengi mno jamani Mungu akulaze pema peponi
                                                                                          

1 comment:

Anonymous said...

urumaa jamani pole wema

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...