Shilole namfeel huyu dada na nyimbo zake.ila nimemwonea uruma niliopona hii clip
yake akielezea maisha yake ya ndoa,na mpaka sasa anavyoishi single kwa sasa. wanawake tunapitia
mengi jamani! ila anajiamini na kujijali na ndio mana maisha yake yamesimama tena.
No comments:
Post a Comment